• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Takwimu zaonesha kuwa mikwaruzano ya uchumi na biashara kati ya China na Marekani inaathiri soko la ajira la Marekani

    (GMT+08:00) 2019-08-02 19:50:45

    Dalili zinaonesha kuwa mikwaruzano ya uchumi na biashara kati ya China na Marekani inashinikiza soko la ajira la Marekani, na kuleta athari mbaya kwa vitengo vya utengenezaji wa bidhaa na makampuni madogo.

    Tovuti ya gazeti la Financial Times Uingereza hivi karibuni ilinukuu takwimu zilizotolewa na kampuni ya ADP ya Marekani zikisema, mwezi wa Julai idadi ya nafasi za ajira katika kampuni binafsi nchini Marekani iliongezeka kwa nafasi laki 1.56 ambayo inazidi kwa kiasi kidogo kuliko makadirio ya wachumi, lakini iko chini ikilinganishwa na wastani wa mwaka jana na nusu ya kwanza ya mwaka huu. Kwa mujibu wa takwimu mpya zaidi, utoaji wa nafasi za ajira wa makampuni madogo ya Marekani mwezi wa Julai umeendelea kuonesha mwelekeo wa kudidimia, ambao unatoa nafasi mpya elfu 11 za ajira.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako