• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa mambo ya nje ahudhuria mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi 10+3

    (GMT+08:00) 2019-08-02 20:18:04

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi amehudhuria mkutano wa 20 wa mawaziri wa mambo ya nje wa Jumuiya ya nchi 10 za Asia Kusini Mashariki na nchi 3 za China, Japan na Korea Kusini.

    Bw. Wang amesema China inalinda utaratibu wa pande nyingi na biashara huria, na kuzifanyia nchi hizo (10+3) kuwa mfano wa kuigwa katika kuongoza mafungamano ya uchumi ya kikanda, kuimarisha ushirikiano na mawasiliano ya utamaduni na binadamu na kuwa jukwaa la kuhimiza maingiliano ya tamaduni mbalimbali, kushirikiana kukabiliana na changamoto za hatari na kuzifanya nchi hizo kuwa mlinzi wa amani na utulivu, China ikiwa nchi mwenyekiti, ina nia ya kushirikiana na kila upande kuandaa mkutano wa viongozi utakaofanyika mwezi Novemba, na kuhimiza ushirikiano wa kupata maendeleo makubwa na mapya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako