• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mauaji makubwa ya Texas yachukuliwa kama tukio la ugaidi wa ndani

    (GMT+08:00) 2019-08-05 09:13:07

    Mwanasheria kutoka magharibi mwa Texas, Marekani Bw. John Bash amesema, serikali kuu ya Marekani inayachukulia mauaji makubwa yaliyotokea jimboni Texas kama tukio la ugaidi wa ndani. Shambulizi hilo lililotokea katika mji wa mpakani wa El Paso huko Texas limesababisha vifo vya watu 20 na wengine 26 kujeruhiwa. Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 21 amekamatwa kwa tuhuma za kuhusika na shambulizi hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako