• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Thamani ya biashara ya huduma ya China katika nusu ya kwanza ya mwaka huu yafikia dola za Marekani bilioni 371

  (GMT+08:00) 2019-08-05 19:31:11

  Naibu mkaguzi wa idara ya biashara ya huduma ya wizara ya biashara ya China Bw. Zhu Guangyao amesema, thamani ya biashara ya huduma ya China katika nusu ya kwanza ya mwaka huu imeongezeka kwa asilimia 2.6 na kufikia dola za Marekani bilioni 371.

  Bw. Zhu amesema katika kipindi hicho, mchango uliotolewa na biashara ya huduma katika biashara ya nje ya China uliongezeka, pengo la biashara ya huduma kati ya China na nchi za nje liliendelea kupungua na biashara ya huduma inayotoa ujuzi mwingi ilifanya vizuri .

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako