• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maua ya Uganda Hatimaye yaingia Soko la China

    (GMT+08:00) 2019-08-05 20:21:28

    Uganda sasa imejiunga na wenzao, Kenya na Ethiopia katika usambazaji wa maua kwa soko kubwa la China.

    Usafirishaji wa maua wa kwanza kabisa kutoka kampuni ya maua ya Rosebud, uliondoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebbe kwenda Beijing, Uchina Julai 29.

    China iko mbali, lakini ni soko kubwa na mahitaji yapo kwa wingi.

    Meneja wa kampuni ya maua Rosebud Ltd, Ravi Kumar, amesema Rosebud inaongeza uwezo wake wa uzalishaji kufikia mahitaji makubwa kutoka Uchina.

    Aidha amesema wamebadilisha kutoka maua madogo hadi kubwa tayari asilimia 80 ya maua ni yale yenye vichwa kubwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako