• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jopo la Umoja wa Mataifa lahitimisha majadiliano kuhusu ripoti ya mabadiliko ya tabianchi na ardhi

    (GMT+08:00) 2019-08-06 08:44:16

    Wanasayansi na maofisa wa serikali wamekutana mjini Geneva, Uswisi, katika hatua za mwisho za kujadili tathmini ya hivi karibuni ya Jopo la Maingiliano ya Serikali kuhusu Mabadiliko ya Hali ya Hewa (IPCC) kwa ajili ya ripoti yake maalum kuhusu mabadiliko ya tabianchi na ardhi itakayotolewa Ahamisi wiki hii.

    Ripoti hiyo inatathmini jinsi usimamizi wa ardhi unavyoweza kuchangia katika kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa na jinsi suala hili linavyoingiliana na usalama wa chakula.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako