• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yaitaka Marekani iache kuingilia kati mambo ya Hongkong

    (GMT+08:00) 2019-08-06 09:19:43

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bibi Hua Chunying jana ameitaka Marekani iache kuingilia kati mambo ya ndani ya Hongkong, na kusisitiza kuwa mtu yeyote asippuuze dhamira thabiti ya China ya kutekeleza sera ya "nchi moja mifumo miwili" na kulinda ustawi na utulivu wa Hongkong.

    Bibi Hua Chunying amesema China inapinga kithabiti kauli zilizotolewa na baadhi ya watu wa Marekani za kupotosha ukweli na kuchanganya uzuri na ubaya kwa makusudi.

    Habari zinasema, wabunge wa Marekani wameihimiza serikali ya nchi hiyo kutosaidia "kukandamiza maandamano ya kiamani" huko Hong Kong, na kupinga kuyatambua maandamano hayo kuwa ni "ghasia".

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako