• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wizara ya mambo ya nje ya Korea Kaskazini yalaani mazoezi ya kijeshi ya Marekani na Korea Kusini

    (GMT+08:00) 2019-08-06 17:22:10

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Korea Kaskazini amelaani mazoezi ya kijeshi ya Marekani na Korea Kusini kukiuka azimio la pamoja la Korea Kaskazini na Marekani na makubaliano kati yake na Korea Kusini.

    Msemaji huyu amesema kutokana na kitendo hicho cha nchi hizo mbili, ni lazima Korea Kaskazini ifanye uvumbuzi, majaribio na kuweka mfumo wa ulinzi wa taifa wenye nguvu kubwa.

    Msemaji huyu pia amesema Korea Kaskazini bado inapenda kutatua suala la peninsula ya Korea kwa njia ya mazungumzo. Lakini hali iliyopo ya kutokea kwa vitendo vya kijeshi itaathiri msimamo wake huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako