• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Rwanda na nchi 4 za Afrika kushiriki G7

    (GMT+08:00) 2019-08-06 19:59:10

    Rwanda itakuwa miongoni mwa nchi 5 za Afrika zitakazoshiriki kwa mkutano wa G7 utakaofanyika nchini Ufaransa.

    Nchi nyingine zilizoalikwa ni pamoja na Misri, Afrika Kusini, Senegal, Burkina Faso na tume ya Umoja wa Afrika.

    Waziri wa mambo ya nje wa Rwanda balozi Olivier Nduhungirehe, amesema nchi hiyo imealikwa kutokana na jukumu lake wakati ikiwa mwenyekiti wa zamu wa Umoja wa Afrika.

    G7 ni kundi la nchi 7 zenye uchumi mkubwa zaidi duniani zikiwemo Canada, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Japan, Uingereza na Marekani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako