• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Kiangazi chapunguza uzalishaji Uganda

    (GMT+08:00) 2019-08-06 20:01:49

    Kiangazi na mabadiliko ya hali ya hewa zimechangia kupungua kwa uzalishaji wa chakula nchini Uganda.

    Shirika la mpango wa chakula duniani linasema Uganda haikutimiza tani 200,000.

    Mkurungezi wa WFP nchini humo El Khidir Daloum, amesema sasa hawawezi kupata chakula cha kutoka kutoka Uganda na hivyo shirika hilo linalazimika kununua nchini Tanzania na Afrika Kusini.

    Mwaka huu WFP ilikuwa imetenga dola milioni 70 kununua bidhaa za kilimo kutoka Uganda lakini wakulima hawajamudu kutimiza kiwango kinachohitajika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako