• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Zaidi ya vijiji 1,000 vyapata umeme

    (GMT+08:00) 2019-08-06 20:02:07

    Jumla ya vijiji 1,310 kati ya vijiji 3,559 Tanzania Bara tayari zimepatiwa umeme wa uhakika kupitia mradi wa umeme vijijini (REA) awamu ya tatu mzunguko wa kwanza ambao unagharimu takribani kiasi cha sh Trilioni 1.2.

    Kaimu na Mkurugenzi wa uendelezaji wa masoko na Teknolojia kutoka REA Mhandisi Advera Mwijage akitoa maelezo kwa Waziri wa kilimo Japhet Hasunga na Balozi wa Indonesia nchini Tanzania Ratlan Pardede walipofika kwenye banda la REA wakati wa maonyesho ya sikuu ya wakulima (Nanenane) Kitaifa yanayofanyikia mkoani Simiyu.

    Kupitia mradi huo ambao unatarajia kukamilika june 2020 , Wakala wa umeme vijijini( REA )imesema kuwa wanatarajia kuwapata wateja laki mbili, ambapo mradi huo ulianza utekelezaji wake Julai, 2018.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako