• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Iran yaweka masharti ya kuondolewa vikwazo kwa mazungumzo na Marekani

    (GMT+08:00) 2019-08-07 08:41:38

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema kama Marekani ikitaka kufanya mazungumzo na Iran, inatakiwa kuiondolea vikwazo vyote.

    Rais Rouhani amesema pamoja na kampeni ya "kuongeza shinikizo" dhidi ya Iran, udhati wa Marekani wa kuomba kufanya mazungumzo na Iran unatiliwa mashaka, na kusisitiza kuwa vikwazo na shinikizo kamwe haviwezi kuwalazimisha watu wa Iran kubadilisha maoni yao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako