• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • East African Breweries kuwekeza shilingi bilioni 22 katika kawi safi

    (GMT+08:00) 2019-08-07 19:06:51

    Kampuni ya mvinyo East African Breweries imetangaza kuwa inawekeza shilingi bilioni 22 katika kawi safi.

    Kampuni hiyo inatarajia kuondoa matumizi ya kawi ya dizeli kwenye uzalishaji wake.

    Uwekezaji huo ni sehemu ya mpango wake wa kuwa na kawi badala katika nchi 7.

    Mipango yake ni kuwekeza shilingi bilioni 6.5 katika kawi ya miale ya jua na gesi hai.

    Uwekezaji wote utafungua nafasi 900 za ajira.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako