• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marekani kuitaja China kuwa nchi inayodhibiti kiwango cha sarafu hakuna msingi wowote

    (GMT+08:00) 2019-08-07 20:30:19

    Msemaji wa idara ya usimamizi wa fedha za kigeni ya China Bw. Wang Chunying, amesema hoja ya wizara ya fedha ya Marekani kwamba kutoingilia hali ya kushuka kwa thamani ya sarafu ni sawa na kudhibiti kiwango cha ubadilishaji wa sarafu, imekiuka vibaya ujuzi wa msingi na kuchafua msingi wa taaluma kwa njia ya kisiasa.

    Bibi Wang amesema Marekani kuitaja China kama nchi inayodhibiti kiwango cha sarafu hakuna msingi wowote, na kuongeza kuwa hatua hiyo ya Marekani imekiuka vigezo ilivyoweka yenyewe vya nchi zinazodhibiti kiwango cha sarafu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako