• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa mambo ya nje wa Marekani atumai kufanya mazungumzo na Korea Kaskazini hivi karibuni

    (GMT+08:00) 2019-08-08 08:49:11

    Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bw. Mike Pompeo amesema Marekani bado inatumai kufanya mazungumzo na Korea Kaskazini hivi karibuni, licha ya kuwa Korea Kaskazini ilirusha makombora Jumanne wiki hii. Bw. Pompeo amesema makombora yaliyorushwa na Korea Kaskazini ni ya masafa mafupi na yalirushwa ndani ya nchi hiyo, hivyo Korea Kaskazini haikukiuka ahadi yake. Ameongeza kuwa jukumu la sasa ni kutekeleza mwafaka uliofikiwa kati ya wakuu wa nchi hizo mbili Juni mwaka jana nchini Singapore.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako