• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Benki ya AfDB yatoa ufadhili wa $98mn kwa ajili ya barabara ya Ethiopia-Djibouti

    (GMT+08:00) 2019-08-08 19:30:30

    Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB) imetoa ufadhili wa $98 milioni kwa ajili ya mradi wa ushoroba wa uchukuzi kutoka Ethiopia hadi nchi jirani ya Djibouti.

    Gharama za jumla za mradi huo $255 milioni, ikiwa ni pamoja na ruzuku ya $98 mn kutoka AfDB kwenda kwa serikali ya Ethiopia na ruzuku ya AfDB ya $5.3 mn kwa serikali ya Djibouti,pamoja na mchango $151 milioni wa serikali ya Ethiopia kwa ajili ya mradi huo.

    Katika taarifa,AfDB imesema mradi huo utaboresha biashara kwa kupunguza kwa kiwango kikubwa gharama za uchukuzi,na hatimaye kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi wa Ethiopia na jirani yake Djibouti.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako