• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa Uingereza atangaza mpango wa utoaji visa wa haraka ili kuvutia wanasayansi wa kigeni baada ya Brexit

    (GMT+08:00) 2019-08-09 08:38:14

    Waziri mkuu wa Uingereza Bw. Boris Johnson ametangaza mpango mpya wa utoaji visa wa haraka ili kuvutia wanasayansi hodari kote duniani kwa ajili ya maendeleo ya sekta ya sayansi baada ya nchi hiyo kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya.

    Mpango huo umetolewa baada ya taasisi ya hisani na utafiti wa kimatibabu ya Wellcome Trust, kumtahadharisha waziri mkuu huyo kuwa, Brexit isiyo na makubaliano itatishia sekta ya sayansi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako