• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • (Mpira wa Kikapu)Thunder yashika nafasi ya pili baada ya kuifunga Umoja

  (GMT+08:00) 2019-08-12 08:52:04
  Timu ya wanaume ya mpira wa kikapu nchini Kenya Thunder imesogea kwenye nafasi ya pili katika ligi ya mchezo huo baada ya kuifunga Umoja kwa vikapu 70 – 41 kwenye mechi iliyochezwa jana katika uwanja wa Nyayo. Thunder, ambao wanatafuta ushindi wao wa kwanza katika ligi hiyo, wamechukua nafasi ya pili baada ya kushinda mechi 14 na kupoteza mbili. Mabingwa watetezi wa ligi hiyo mamlaka ya Mapato ya Kenya, wameshuka na kuchukua nafasi ya tatu kwa kushinda mechi 13 na kupoteza nne.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako