• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wakenya wafunikwa Haydom Marathon

  (GMT+08:00) 2019-08-12 08:52:29
  Wanariadha kutoka Kenya wameshinda mashindano ya riadha ya Haydom 2019 ya kilomita 21 nusu marathon yaliyofanyika mji mdogo wa Haydom wilayani Mbulu mkoani Manyara nchini Tanzania na kushirikisha wanariadha 900. Mashindano hayo yanafanyika kwa mwaka wa pili mfululizo na yanalenga kuboresha huduma za afya katika hospitali ya Haydom ambapo mwaka jana, fedha zilizotokana na mashindano hayo zilitumika kununua mashine ya CT-Scan, na mwaka huu zitatumika kwa ajili ya ujenzi wa wodi ya wagonjwa ya watoto.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako