• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Juve kuuza wawili kupata saini Pogba

  (GMT+08:00) 2019-08-12 08:53:08
  Juventus bado inavutiwa na kuitamani ya saini ya kiungo Paul Pogba, ambapo wapo tayari kuuza wachezaji wawili kusaka pauni milioni 150 kufanikisha usajili huo kwa Manchester United. Mchezaji huyo wa mabingwa wa kombe la dunia Ufaransa, anaweza kuondoka Old Trafford mwezi huu, huku dirisha la usajili kwa nchi za Italia na Hispania likitarajiwa kufungwa September 2. Mchezaji huyo mwenye miaka 26 alitajwa kutaka kujiunga na Real Madrid kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili, lakini timu hiyo ilishindwa kufikia makubaliano na Manchester United.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako