Mkurugenzi wa kikosi cha muda cha Umoja wa Mataifa nchini Lebanon De Reviers De Mauny, amesifu mchango unaotolewa na kikosi cha kulinda amani cha China. Akizungumza wakati alipokagua operesheni ya kuondoa mabomu hapo jana, Bw. De Mauny amesema kikosi hicho kinachoshughulikia uondoaji wa mabaomu ni nguvu ya lazima ya kulinda amani ya dunia.
Katika miaka 13 iliyopita, kikosi cha kulinda amani cha China kimeshiriki kwenye operesheni ya kuondoa mabomu bila vifo wala majeruhi.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |