• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kiwanda cha Saruji  Portland cha futa wafanyikazi 800

  (GMT+08:00) 2019-08-12 19:59:46
  Kampuni ya Saruji ya Portland ya Afrika Mashariki (EAPCC) imetangaza kufuta wafanyikazi wake wote 800, ili kupunguza malipo ya juu ya mshahara katika kampuni hiyo.

  Kaimu mkurugenzi mtendaji wa EAPCC, Stephen Nthei amesema kufutwa kwa wafanyikazi mishahara itapunguzwa ili kampuni hiyo irudi tena imara katika soko.

  Portland Cement ilikuwa na wafanyikazi 936 mwishoni mwa Juni 2018, lakini tangu sasa imeshuka hadi 800 kwa mujibu wa kaimu MD.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako