• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Oduor kusakata soka Uingereza kwa miaka 4

  (GMT+08:00) 2019-08-13 08:06:01
  Mkenya Clarke Sydney Omondi Oduor aliibuka miongoni mwa wanasoka wawili walionaswa na Barnsley FC ya Uingereza siku moja kabla ya kukamilika kwa kipindi cha uhamisho. Chipukizi huyo alisajiliwa wakati mmoja na Patrick Schmidt raia wa Australia. Usajili huo unatoa nafasi kwa chipukizi huyo kuorodheshwa miongoni mwa wasajili wapya 12 watakaosakata kabunbu katika klabu hiyo muhula huu. Oduor mwenye umri wa miaka 20 tayari ametia wino kandarasi ya miaka minne kusakatia klabu hiyo kwenye kampeni za soka la daraja ya pili akitokea Leeds United ambayo pia hushiriki kipute hicho.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako