• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Aussems aanza kuifanyia kazi Azam

  (GMT+08:00) 2019-08-13 08:06:39
  Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema, siku tatu zilizobaki zinatosha kabisa kupanga maangamizi ya kuimaliza Azam katika mchezo wa Ngao ya Jamii utakaofanyika jumamosi wiki hii katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Kocha huyo amesema kikosi chake kina asilimia 50 ya wachezaji wapya lakini anaamini kuwa kadri muda unavyokwenda, wachezaji wapya na wa zamani watazoeana na kushirikiana.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako