• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ujumbe wa Marekani wafika Uturuki kujiandaa kuanzisha eneo salama nchini Syria

  (GMT+08:00) 2019-08-13 09:57:29

  Wizara ya Ulinzi ya Uturuki imesema ujumbe wa Marekani wenye watu sita umewasili nchini humo ili kujiandaa kwa uzinduzi wa Kituo cha Operesheni za Pamoja unaotarajiwa kufanyika katika eneo salama linalotarajiwa kuanzishwa nchini Syria siku kadhaa zijazo. Wiki iliyopita, maofisa wa kijeshi wa Uturuki na Marekani walikubaliana kuratibu na kusimamia eneo hilo kaskazini mwa Syria, hatua inayoonekana kupunguza uwekezano wa uvamizi wa kijeshi wa Uturuki.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako