• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote kukamilika 2020

  (GMT+08:00) 2019-08-13 19:15:39
  Ukamilishaji wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote nchini Nigeria utachelewa hadi mwaka ujao kutokana na ucheleweshaji wa baadhi ya vifaa vya ujenzi

  Kitakapokamilika kiwanda hicho kitasafisha mapipa 650, 000 ya mafuta kwa siku.

  Mkurungezi mkuu wa Dangote Group, bwana. Devakumar Edwin, amesema mtambo wa kuhifadhia mafuta ghafi unatarajiwa kuwasili kutoka China baadaye mwezi Oktoba.

  Aidha Edwin amaesema kama sehemu ya kukuza biashara zake Dangote itaajiri wataalam 33 wa kufuatilia bei za mafuta kwenye masoko ya kimataifa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako