• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Yanga yaitia hofu Township Rollers ya Botswana

  (GMT+08:00) 2019-08-14 08:52:15
  Licha ya kuwa na faida ya bao la ugenini walilolipata katika sare ya 1 – 1 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jumamosi iliyopita, Kocha Mkuu wa Township Rollers Tomas Trucha anashindwa kujiamini kwamba ataibuka na ushindi ama kulinda matokeo hayo ili kuweza kusonga mbele kufuzu mashindanoya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF). Katika mechi ya marudiano itakayopigwa jumamosi Agosti 24 katika Uwanja wa Taifa mjini Gaborone, Botswana, Yanga itakuwa inahitaji ushindi ama sare ya kuanzia mabao mawili ili kusomga mbele kwenye michuano hiyo inayoongoza kwa utajiri kwa ngazi ya klabu barani Afrika.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako