• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Azam FC kuwamalizia Waethiopia Chamazi

  (GMT+08:00) 2019-08-14 08:52:35
  Licha ya kukubali kipiogo cha bao 1 – 0 dhidi ya Faisal Kenema ya Ethiopia kwenye mchezo wa kwanza wa michuani ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF), Azam FC ya Tanzania imeahidi kufanya kweli katika mechi ya marudiano itakayopigwa jijini Dar es Salaam Agosti 24 mwaka huu. azam imekuwa timu pekee iliyopoteza mechi zake kati ya timu nne zinazopeperusha bendera ya Tanzania kwenye michuano hiyo kwa upande wa Tanzania Bara.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako