• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkakati Mpya wa Kuboresha Sekta ya Nguo za Uganda

    (GMT+08:00) 2019-08-14 19:46:34
    Uganda imekamilisha mkakati wa sekta yake ya pamba, nguo na mavazi ambayo inaweza kutoa ajira mpya 50,000 na dola milioni 650 kwa mapato ya ziada ya kuuza nje katika kipindi cha miaka nane.

    Mbali na kuongeza thamani ya pato la pamba la Uganda, viwanda zinaweza kuajiri wafanyikazi 50,000 kupata jumla ya dola milioni 50 kila mwaka.

    Mkakati huo unapendekeza kufufua mnyororo wa thamani ya uzalishaji wa pamba na uwekezaji katika mavazi yanayoelekezwa nje na vile vile viwandani vya uzalishaji wa mavazi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako