• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bei ya Chai ya Rwanda iko juu kuliko ya Kenya katika mnada

    (GMT+08:00) 2019-08-14 19:46:49

    Chai ya Rwanda inauzwa kwa bei ya juu kwenye Mnada wa Chai Mombasa, ikifunika bei inayouzwa chai ya Kenya kwani wanunuzi wa kimataifa wanazingatia ubora.

    Bei ya kila juma kwa chai ya Rwanda imekuwa ikiongezeka kwa miezi mitatu iliyopita.

    Kenya, muuzaji wa chai anayeongoza ulimwenguni, inachukua robo tatu ya mazao yaliyouzwa katika mnada wa Mombasa.

    Wakati bei zimebakia chini katika mnada katika miezi ya hivi karibuni chai ya Kenya inaonekana kuisha kivutio hata baada ya viwanda nchini Rwanda vinajitahidi kuboresha ubora wa soko la usafirishaji wa nje.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako