• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Iran asema usalama wa usafiri wa meli katika Ghuba ya Uajemi unapaswa kulindwa na nchi zinazopakana nayo

    (GMT+08:00) 2019-08-15 09:18:56

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema usalama wa usafiri wa meli katika eneo la Ghuba ya Uajemi unapaswa kulindwa na nchi zinazopakana nayo kwa pamoja, na anapinga kithabiti uingiliaji wa nje. Rais Rouhani amesema hayo kwenye mkutano wa Baraza la Mawaziri baada ya Marekani hivi karibuni kutaka washirika wake kujiunga na "muungano wa kulinda usafiri" katika eneo la Ghuba ya Uajemi. Wachambuzi wanasema Marekani inalenga kuchochea "tishio la Iran" na kuongeza shinikizo kwa nchi hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako