• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ndege zisizo na rubani za Uturuki zaanza kazi kaskazini mwa Syria wakati maandalizi ya eneo salama yanaendelea

    (GMT+08:00) 2019-08-15 09:19:18

    Ndege zisizo na rubani za Uturuki zimeanza operesheni kaskazini mwa Syria ambako eneo salama litaanzishwa kwa mujibu wa makubaliano kati ya nchi hiyo na Marekani. Wizara ya Ulinzi ya Uturuki imesema juhudi zinafanyika ili kuanzisha Kituo cha Operesheni cha Pamoja katika mkoa wa Sanliurfa, kusini mashariki mwa Uturuki mapema iwezekanavyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako