• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Maofisa wa nchi za Ukanda Mmoja na Njia Moja wako nchini China kujifunza ujenzi na usimamizi wa reli

  (GMT+08:00) 2019-08-16 08:59:57

  Mamlaka nchini China imesema, maofisa 35 kutoka nchi zilizo kwenye Ukanda Mmoja na Njia Moja wako nchini China kupata mafunzo ya ujenzi wa reli na usimamizi wake.

  Mafunzo hayo ya wiki tatu yaliyoandaliwa na Wizara ya Biashara ya China yalifanyika katika miji mitatu ya Chengdu, mji mkuu wa mkoa wa Sichuan, Hefei mji mkuu wa mkoa wa Anhui, na mjini Shanghai.

  Maofisa hao wametokea kwenye sekta ya reli katika nchi za Burkina Faso, Jamhuri ya Czeck, Laos, Mauritius, Mongolia, Msumbiji, Sri Lanka, Sudan, Thailand, Uganda na Vietnam.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako