• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la Syria lazuia kombora lililolenga mji wa Masyaf

    (GMT+08:00) 2019-08-16 09:12:27

    Vikosi vya ulinzi wa anga vya Syria vimezuia kombora lililolenga mji wa Masyaf, mkoani Hama, katikati ya nchi hiyo. Televisheni ya taifa imeripoti kuwa mlipuko ulisikika katika anga ya mji huo jana usiku, na imenukuu duru za kijeshi ikisema kombora hilo lilirushwa kutoka kaskazini mwa Lebanon. Masyaf imeripotiwa kushambuliwa na makombora ya Israel ambayo mara nyingi yanalenga Kituo cha Utafiti wa Kisayansi mjini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako