• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 63 wauawa kwenye mlipuko ulitokea kwenye ukumbi wa harusi wa Kabul

    (GMT+08:00) 2019-08-18 17:25:42

    Takriban watu 63 wameuawa na wengine zaidi ya 180 kujeruhiwa jana usiku baada ya kutokea mlipuko wa kujitoa muhanga kwenye ukumbi wa harusi magharibi mwa Kabul. Ikithitbitisha tukio hilo polisi ya Afghanistan imesema mlipuko umetokea saa 4.40 usiku ndani ya ukumbi wa harusi wa Shahr-e-Dubai huko Kabul. Idadi ya vifo huenda ikaongezeka kwani watu kadhaa wapo kwenye hali mahututi.

    Hadi sasa hakuna mtu au kundi lolote lililotangaza kuhusika na tukio hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako