• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa Brexit asaini amri ya kufuta sheria zote za Umoja wa Ulaya nchini Uingereza

    (GMT+08:00) 2019-08-19 08:00:22

    Waziri anayeshughulikia Brexit Bw. Stephen Barclay amesaini amri itakayofuta sheria zote za Umoja wa Ulaya zinazotumika nchini Uingereza kuanzia Oktoba Mosi mwaka huu.

    Taarifa iliyotolewa na serikali ya Uingereza imesema, Barlclay amesaini sheria ya kufuta Azimio la Bunge lililokubali nchi hiyo kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya (EEC) mwaka 1972.

    Amri hiyo itafuta Azimio hilo la mwaka 1972, na kutekeleza kihalisi Mkataba wa Uingereza kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako