• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Benki ya Kigali yasajili hadi wakulima 150,000 kwenye mpango wake wa IKOFI

    (GMT+08:00) 2019-08-20 20:01:05

    Benki ya Kigali imesajili hadi wakulima 150,000 kwenye mpango wake wa IKOFI unaolenga kuwezesha wakulima kupata mikopo ya kujiendeleza.

    Mpango huo ulianzishwa mwezi Mei na pia umesajili wadau 1,200 wanaoendesha viwanda kuhusu kilimo.

    Afisa kwenye benki hiyo Felix Mutangana amesema mpango huo umepokelewa vyema na wakulima ikiwa ni ishara ya kukua kwa sekta ya kilimo nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako