• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Teknolojia kusaidia kupunguza udanganyifu katika mabenki

    (GMT+08:00) 2019-08-21 20:32:11

    Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Dkt Bernard Kibesse anatafuta usalama na faragha ya habari ya wateja.

    Dk Kibesse anataka sekta ya benki kutumia teknolojia iliyonayo kuweka usalama wa habari za wateja.

    Alikuwa akihutubia wakubwa na wadogo katika sekta ya fedha kujadili maadili na mazoea bora katika benki ya kidijitili na fedha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako