• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imepanga kutumia Sh bilioni 10 kufanya ukarabati bandari zote kwenye Ziwa Victoria

    (GMT+08:00) 2019-08-26 20:04:29

    Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imepanga kutumia Sh bilioni 10 kufanya ukarabati wa kisasa na pia kuboresha miundombinu ya bandari zote kwenye Ziwa Victoria.

    Ukarabati unakadiriwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu.

    Maboresho ya miundombinu ya bandari zinalenga kuimarisha mizigo yao na uwezo wa usafirishaji sambamba na mahitaji.

    maboresho hayo yataongeza mapato kwa Mamlaka ya Bandari, katika mwaka wa fedha wa 2017/18, walikusanya mapato ya Sh milioni 590 milioni. Hii iliongezeka mara dufu na kufikia Sh bilioni 1.4 mwaka wa fedha wa 2018/19.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako