• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wizara ya ulinzi ya Tunisia yatangaza kuimarisha ulinzi wa kijeshi mpakani

  (GMT+08:00) 2019-08-27 09:21:18

  Wizara ya ulinzi ya Tunisia imetangaza kuwa jeshi la serikali litaimarisha ulinzi wa kijeshi katika eneo la mpaka na Libya. Hatua hiyo imekuja baada ya askari polisi kupambana na kuwafukuza nje wapiganaji walioingia Tunisia kiharamu kutoka Libya jumamosi iliyopita.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako