• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yapinga Marekani kupaka matope ushirikiano wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja" na kuchochea mzozo kati ya China na nchi nyingine

    (GMT+08:00) 2019-08-28 20:10:47

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje Bw. Geng Shuang amesema China inapinga kitendo cha Marekani kupaka matope ushirikiano wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja" na kuchochea mzozo kati ya China na nchi nyingine, na inaamini kuwa nchi nyingi zinaweza kuchagua kwa uhuru sera zinaozendana na maslahi yao kwa kuzingatia hali halisi.

    Bw. Geng amesema hayo kwenye mkutano na waandishi wa habari, akiongeza kuwa tofauti na msimamo wa Marekani, China imeanzisha na kushirikiana na nchi zaidi ya 160 ikiwemo Ukraine na mashirika mengine ya kimataifa kujenga "Ukanda Mmoja, Njia Moja", siku zote inafuata kanuni ya kujadiliana, kujenga kwa pamoja, na kunufaishana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako