• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Rwanda na Zimbabwe zasaini makubaliano ya kukuza sekta ya madini

    (GMT+08:00) 2019-08-28 20:20:50
    Serikali za Rwanda na Zimbabwe zimesaini makubaliano ya kukuza biashara na kuongeza uwekezaji katika sekta ya madini.

    Mkurungezi mkuu wa shughuli za uchimbaji madini nchini Rwanda Francis Gatare, ameyataja makubaliano hayo kama mfano wa utekelezaji wa ruwaza ya sekta ya madini ya Afrika kupitia kwa ushirikiano.

    Ruwaza hiyo iliidhinishwa mwaka 2009 na itanufaika na soko huria la Afrika.

    Gatarre alisema ili nchini hizo zinafanikishe malengo yake ya sekta ya madini zinahitaji uwekezaji wa sekta ya kibinafsi.

    naye waziri wa madini wa Zimbabwe Winston Chitando, amesema makubaliano hayo yataiwezesha nchi yake kujifunza kutoka Rwanda hasa kwa wachimba madini waodogo wadogo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako