• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • NDONDI: Gurdijeljac uso kwa uso na Mtanzania Bruno Tarimo

    (GMT+08:00) 2019-08-29 08:49:43
    Bondia Mserbia Sheka Gurdijeljac atashuka ulingoni kwenye pambano la kimataifa litakalokuwa na raundi 12 la kimataifa dhidi ya Mtanzania Bruno Tarimo, maarufu kama Vifua Viwili.

    Pambano hilo linatarajiwa kuchezwa Agosti 31 nchini Serbia ukumbi wa Hala Pendik Novi Pazar linaelezwa kuwa litakuwa ni la kukata na shoka.

    Meneja wa Sheka, Almin Kuc amesema, sababu kubwa ya kumchagua Vifua Viwili ni uwezo wake alionao pamoja na kiu。

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako