• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Manchester United imeripotiwa kukubali kumuachia Sanchez

    (GMT+08:00) 2019-08-29 08:50:25
    Mashetani wekundu wa Uingereza, Manchester United jana wameripotiwa kuwa wapo tayari kumuachia mshambuliaji wake wa kimataifa wa Chile Alex Sanchez akaungane na Romelu Lukaku katika klabu ya Inter Milan ya Italia, Man U wamekubali kumtoa kwa mkopo wenye kipengele cha kumnunua mwisho wa msimu.

    Sanchez anaripotiwa kuwa tayari kurudi Italia baada ya kuwa na msimu mbovu na Man U, vyanzo mbalimbali vinaripoti kuwa pamoja na kuwa Inter Milan wamekubali kumnunua kwa mkopo mchezaji huyo lakini hawajampa ofa zaidi ya mshahara wa pauni 150,000 kwa wiki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako