• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ireland yamkosoa waziri mkuu wa Uingereza kwa kusimamisha bunge

    (GMT+08:00) 2019-08-29 09:29:13

    Ireland imekosoa uamuzi wa waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson wa kusimamisha bunge la nchi yake. Baada ya Uingereza Jumatano kutangaza kusimamishwa kwa bunge, naibu waziri mkuu wa Ireland ambaye pia ni waziri wa mambo ya nje na biashara wa nchi hiyo Simon Coveney amesema, ni vigumu kuona kama kuna uwezekano mkubwa zaidi wa Brexit bila ya makubaliano.. Hatua ambayo inaaminiwa kuwa ni jaribio la Johnson kupunguza nafasi za wabunge kupitisha sheria za kuzuia Brexit bila ya makubaliano.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako