• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Maadhimisho ya miaka 70 ya kuanzishwa kwa Jamhuri ya Watu wa China kufanyika Oktoba 1 mjini Beijing

  (GMT+08:00) 2019-08-29 14:11:46

  Mkutano wa maadhimisho ya miaka 70 ya Jamhuri ya Watu wa China utafanyika Oktoba Mosi katika Uwanja wa Tian'anmen mjini Beijing.

  Rais Xi Jinping wa China atahudhuria na kuhutubia mkutano huo. Gwaride kubwa la kijeshi na maandamano ya umma yatafanyika mara baada ya mkutano huo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako