• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China imekuwa injini ya kwanza katika kuhimiza ukuaji wa uchumi duniani katika miaka 70 iliyopita

  (GMT+08:00) 2019-08-29 20:55:43

  Idara ya Takwimu ya China imetangaza ripoti kuhusu mafanikio ya maendeleo ya uchumi na jamii katika miaka 70 iliyopita tangu kuasisiwa kwa China mpya. Takwimu hizo zimeonesha kuwa, tokea mwaka 2006 China imeshika nafasi ya kwanza duniani katika kuchangia katika ukuaji wa uchumi duniani, na kuwa msukumo wa kwanza wa ukuaji wa uchumi duniani.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako