• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Tayari Sanchez atua Milan kukamilisha uhamisho

    (GMT+08:00) 2019-08-30 09:20:51
    Mchezaji Alex Sanchez jana amewasalimu mashabiki wa soka mjini Milan, baada ya kuwasili kwa ajili ya kufanya vipimo vya afya ili kukamilisha uhamisho wake wa mkopo kwa AC Milan baada ya kuwa na miezi 18 migumu ndani ya Mashetani Wekundu Manchester United ya Uingereza.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako