• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mjumbe maalumu wa Rais wa China kufanya ziara Kenya, Nigeria na Sierra Leone

  (GMT+08:00) 2019-08-30 20:02:24

  Msemaji wa wizara ya mambo ya nje Bw. Geng Shuang amesema kutokana na mialiko wa Kenya, Nigeria na Sierra Leone, mjumbe maalumu wa Rais Xi Jinping wa China Bw. Yang Jiechi atafanya ziara nchini Kenya, Nigeria na Sierra Leone ili kuhimiza uhusiano wa pande mbili, na kubadilishana maoni kuhusu masuala ya kimataifa na kikanda.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako