• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mogherini asisitiza ahadi ya Umoja wa Ulaya ya kutekeleza kikamilifu makubaliano ya nyuklia ya Iran

    (GMT+08:00) 2019-08-31 17:34:30

    Mwalikishi mkuu wa Umoja wa Ulaya anayeshughulika na masuala ya kigeni na sera ya usalama Federica Mogherini amesisitiza msimamo wa Umoja huo katika kutekeleza kikamilifu makubaliano ya sasa ya nyuklia ya Iran.

    Bibi Mogherini amesema hayo kwenye mkutano na waandishi wa habari baada ya mkutano wake usio rasmi na mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya. Pia amesema maendeleo yoyote yanayopelekea mazungumzo na mawasiliano ya kidiplomasia yanakaribishwa na Umoja huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako